Ufufuo na uzima

Ufufuo na uzima

kitchen party ya Cleria changwa @ lego shekilango - Sinza 24.5.2015

DVD production Cover
Cleria akiwa saloon akipambwa

Cleria akiwa katika pose

Mama wa Cleria, Cleria mwenyewe na Mwenyekiti wa kamati

Wageni wakiwa katika utulivu

Cleria akifungua Shampein pamoja na Dada yake

Mc Mamuu akiongoza shughuli

Wakati wa kwaito sasaa

Cleria akikata keki

wageni wakiwa katika furaha

Zawadi y kitanda kutoka kwa mama mzani wa Cleria

zawadi ya jiko kutoka kwa Dada wa Cleria

Zawadi ya friji

Cleria akiwa katika pose

Cleria akiwa na mdogo wake

Cleria akiwa katika pose

Cleria akiwa katika pose na dada yake

Johanes, MC Mamuu na Dominic Harry

Pose 

Cleria akiwa na team nzima ya wafanya biashara kutoka kariakoo

hm production @24.5.2015
Find us on Facebook hm production
Contact: 0717 548616, 0767 548616

IMTU present Give thanks to the Lord for his Mercy endures forever @15.5.2015

Sarafina Urio akimwabudu Mungu.

Sarafina Urio akimwabudu Mungu.

Mwimbaji akimsifu Mungu

Mwimbaji akimsifu Mungu

Watu waliohudhulia mkesha

Pastor frank Minja akitoa utambulisho

Watu waliohudhulia mkesha

Wapiga viomba wakijiandaa na sifa

TAFES IMTU Praise & Worship team

Mwimbaji wa TAFES IMTU Praise & Worship team

Wadada wakimsifu Mungu

Watu wakimsifu Mungu

TAFES IMTU Praise & Worship team

sifa zikiendelea

Pastor Frank akijiandaa kwa Neno

Watu wakiabudu

Watu wakiabudu

Watu wakiabudu

Watu wakiabudu

Pastor frank akiubiri

Pastor frank akiubiri
hm production@ 15.5.2015

Tofauti ya NDOA na HARUSI ( usijute ukioa/kuolewa)


Tofauti ya NDOA na HARUSI ( usijute ukioa/kuolewa)
Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi!
Kuna Ndoa na kuna Harusi...Wengi mnapenda zaidi harusi, na mnapowaza ndoa picha inayowajia ni Suti kali, Boonge la Shela kutoka Uturuki, Make Up ya ukweli ya bibi harusi kutoka Maznat Mikocheni, Mashosti kuingia ukumbini na Wimbo wa Alingo,Wanafiki kukomeshwa kwa jinsi pati yako itakavyokua kali.

Je, umewahi kuwaza Mmeo au mkeo akiumwa miaka 5 mfululizo utaweza kumvumilia?? Umewahi kuwaza Watoto watakapozaliwa na ulemavu utawa-care namna gani?? Mtakapokosa watoto miaka 6 ya ndoa utahimili maneno ya Mama Mkwe na Mawifi kwamba unawajazia Choo cha kaka yao na huna kizazi?? Ndoa ni zaidi ya Sherehe ya Harusi.


Baada ya yale Matarumbeta kuzimika usiku kifuatacho ni Majukumu mazito na Kiapo kisichovunjika. Achana na Fantasy za Kwaito,waza mbali kidoogo... Je, Uko tayari kuwa Mme au Mke wa mtu mmoja tu au Ma-Ex watarejea kidogo kidogo kama hupati Satisfaction ya kutosha kwa mumeo??? Huwa mnawaza hayo au mnawaza Zawadi ya Kamati itatoa Verossa ya kuanzia maisha?? Sidhani... Kabla ya kuoa na kuolewa jiulize,Unatamani Ndoa au ni tamaa ya Sherehe ya Harusi????