Ufufuo na uzima

Ufufuo na uzima

Neema Michael (Njia zake ni njia za kupendeza sana, Na mapito yake yote ni amani.)Mithali 13:17


Huyu ni mwanadada Neema Michaeli 
ni Msichana mwenye umri usio pungua miaka miaka 25,
Ni msichana watofauti sana katika kumtumikia Mungu 
hapa anaonekana akiwa katika harakati za kukusanya Matoleo na zaka 
katika nyumba ya Bwana Ufufuo na uzima - kawe.



Ni mwana dada anayejua pose na mwenye mvuto kwa kila atakaye muona
Ni mcheshi sana,Mpenda watu na wenye kupenda kua na furaha kila wakati.
Hebu mpe marks kwa pose aliloweka.


Hakika yake huwadharau wenye dharau,  
(Neema Michael)

Njia zake ni njia za kupendeza sana, 
Na mapito yake yote ni amani. 
Daudi chisata & Neema Michael

Usiingie katika njia ya waovu, 
Wala usitembee katika njia ya wabaya. 
Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, 
Igeukie mbali, ukaende zako. 
Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; 
Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu. 
Maana wao hula mkate wa uovu, Nao hunywa divai ya jeuri. 
Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, 
Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu. 
Njia ya waovu ni kama giza; 
Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho. 
(Jessca & Neema)


Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele za macho ya Bwana, 
Na mienendo yake yote huitafakari.
Johanes Kanaani & Neema Michaeli 

No comments:

Post a Comment