Ufufuo na uzima

Ufufuo na uzima

Harusi yangu Hussein Njenje ilifungwa katika hall la jamuhuli DSM 18.1.2015 hm production

Bwana harusi hussein njeje akiwa teyari kwa tukio la kufunga ndoa

Bwana harusi hussein njeje akiulizwa maswali na mfungishaji ndoa hiyo

Bwana harusi hussein njeje akipewa mkondo wa heri baada ya tukio la kufunga ndoa

Bwana harusi hussein njeje akiakimsomea dua mke wake baada ya kufunga ndoa

Mr and Mrs harusi hussein njeje wakiwa na furaha baada ya tukio la kufunga ndo


Tendo kuu ni kuvishana pete

Mr and Mrs harusi hussein wakivalishana pete

Angalia Pete ya Mke wangu "Hussein Njenje"

Baada ya tendo la kuvalishana pete sasa wanasaini vyeti vya ndoa

Baada ya tendo la kuvalishana pete sasa wanasaini vyeti vya ndoa


Tukio zima ni maupendo tuu

Mrs Hussein Njenje

Yote ni upendo

Zawadi kwa wanandoa

Matukio katika simu

Photographer harry dominic

Seif Puche na Bwana harusi baada ya kuchukua Jiko

Picha za pamoja

Picha za pamoja

Picha za pamoja

© 18.1.2015 hm production

No comments:

Post a Comment