Ufufuo na uzima

Ufufuo na uzima

Mazishi ya mwili wa Stella Justin Kassidi © 15.1.2015 Kinondoni

Gari ya mwili wa Marehemu  Stella Justin Kassid ikiingia katika viwanja
vya makabuli ya kinondoni.

Watu wakiupokea Mwili kuelekea katika eneo la mazishi.

Watu wakiupokea Mwili kuelekea katika eneo la mazishi.

Watu wakiupokea Mwili kuelekea katika eneo la mazishi.

Mwili ukiwa unasubiliwa kuwekwa kwaajili ya ibada ya mazishi.

Mwili wa marehemu Stela justin kassid ukiwekwa kwaajili ya maandalizi ya kuuzika.


Mtoto wa marehemu Francis Kasid akiwa na mke wake Clara wakiweka mchanga wa mwisho katika kabuli la Mama yao Stella Justin Kassidi.

Mtoto wa marehemu Francis Kasid akiwa na mke wake Clara.

Umati wa watu ukiwa katika Mazishi.

Umati wa watu ukiwa katika Mazishi.

Umati wa watu ukiwa katika Mazishi.

Umati wa watu ukiwa katika Mazishi.

Umati wa watu ukiwa katika Mazishi.

Mtoto wa marehemu Francis Kasid akiweka msalaba katika kabuli la marehemu mama yeke.


Mtoto wa marehemu Francis Kasid akiwa na mke wake Clara wakiweka shada katika kabuli la mama yao.


Umati wa watu ukiwa katika Mazishi.

© 15.1.2015 hm production



No comments:

Post a Comment