Ufufuo na uzima

Ufufuo na uzima

Wedding Reception ya Farhaan Manji © 11.1.2015 jpl

Ukumbi wa Golden Jubilee Tower Floor ya 5 hiyo ni mandhari ya ndani ya ukumbi na mwonekano wa kuvutia 

Wageni wakionekana katika utulivu.

Camera Man Kamili Athumani akiwa katika harakati za kuchukua matukio


Farhan Manji akiwa katika pose

Mwonekano wa Bi harusi akiingia ukumbini 

Mwonekano wa Bi harusi akiingia ukumbini 

Mwonekano wa Bw harusi 


Bwana harusi akiandaa keki kwaajili ya kumlisha Bi harusi


Bi harusi akitabasamu baada ya kulishwa keki


Bw harusi akituonyesha pete atakayo mvisha Bi harusi


Maharusi wakiwa katika Pose


Maharusi wakiwa katika Pose

Maharusi wakiwa katika Pose

Wapiga picha kutoka Hm production wakipiga picha za pamoja na maharusi


Photographer Dominic Harry


© 11.1.2015 hm production




No comments:

Post a Comment