Ufufuo na uzima

Ufufuo na uzima

Harusi yangu ilikua haina mfano John & Evelyne 29.11.2014 Polisi Baracks

DVD Cover
Bi harusi Evelyne akiwa saloon akipambwa 

Bi harusi akiwa katika pose baada ya kupambwa

Bi harusi akiwa katika pose baada ya kupambwa

Take pose

Bw. harusi John 

Tukio la kuingia ndani ya kanisa na kuanza kwa ibada ya ndoa

Ishara ya kuungana na kua mwili mmoja

Bw.harusi John akiapa kua ataambatana na Bi.Evelyn kwenye shida na raha

Bi. Evelyn akiapa kua ataambatana na John kwenye shida na raha

Ishara ya tendo la kufunga ndoa wakivalishana Pete

Maharusi wakiwaonyeshea watu vyeti vyao vya ndoa

Maharusi wakiwa kwenye pose

Maharusi wakiwa kwenye pose

Wapambe wa maharusi wakitangulia kuingia ukumbini

Maharusi wakiingia ukumbini


Cake

Cake ni ishara ya upendo.

Bw. harusi akitoa utambulisho

Utambulisho

Bi. harusi akitoa utambulisho

Utambulisho

Wakati wa chakula cha pamoja

Zawadi


© 29.11.2014 hm production

No comments:

Post a Comment